0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

073. Riyadhu Swalihina Mlango wa Uchamungu Hadithi ya 05


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


عنْ أبي أُمَامَةَ صُدَيَّ بْنِ عَجْلانَ الْباهِلِيِّ رضي اللَّهُ عنه قال: سَمِعْتُ رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَخْطُبُ في حَجَّةِ الْودَاع فَقَالَ : « اتَّقُوا اللَّه ، وصَلُّوا خَمْسكُمْ ، وصُومُوا شَهْرَكمْ ، وأَدُّوا زكَاةَ أَمْوَالِكُمْ ، وَأَطِيعُوا أُمَرَاءَكُمْ ، تَدْخُلُوا جَنَّةَ رَبِّكُمْ »   رواه التِّرْمذيُّ ، في آخر كتابِ الصلاةِ وقال : حديثٌ حسنٌ صحيح


Kutoka kwa Abuu Umaamah, Swudayy bin ‘Ajlaan Al-Baahiliyy Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilimsikia Mtume akikhutubia katika Hajjatil-Widaa’i akasema: [Mcheni Mwenyezi Mungu, na muswali Swala zenu tano, na muufunge mwezi wenu, na toeni Zaka za mali yenu, na Muwatii viongozi wenu, mtaingia Pepo ya Mola wenu.]    [Imepokewa na At-Tirmidhiy, na amesema: Hadiyth hii ni Hasan Swahiyh]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله





Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.