0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

072. Riyadhu Swalihina Mlango wa Uchamungu Hadithi ya 04


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


عَنْ أبي طَريفٍ عدِيِّ بْنِ حاتمٍ الطائِيِّ رضي اللَّه عنه قال : سمعت رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقُولُ : « مَنْ حَلَفَ عَلَى يمِين ثُمَّ رَأَى أتقَى للَّهِ مِنْها فَلْيَأْتِ التَّقْوَى »     رواه مسلم


Kutoka kwaAbuu Twariyf ‘Adiyyi bin Haatim At-Twaaiyy Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: [Atakayeapa yamini kisha akaona linalomridhisha zaidi Mwenyezi Mungu kulikoni aliloliapia, basi afanye linalokuwa ni ucha Mungu.]    [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله





Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.