0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

070. Riyadhu Swalihina Mlango wa Uchamungu Hadithi ya 02


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


عَنْ أبي سَعيدٍ الْخُدْرِيِّ رضي اللَّه عنه عن النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « إنَّ الدُّنْيا حُلْوَةٌ خضِرَةٌ ، وإنَّ اللَّهَ مُسْتَخْلِفُكُمْ فِيهَا . فينْظُر كَيْفَ تَعْمَلُونَ . فَاتَّقوا الدُّنْيَا واتَّقُوا النِّسَاءِ. فَإِنَّ أَوَّلَ فِتْنةِ بَنِي إسْرَائيلَ كَانَتْ في النسَاء »    رواه مسلم


Kutoka kwaAbuu Sa’iyd Al-Khudriy Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: [Hakika dunia ni tamu rangi ya kijani, Hakika Mwenyezi Mungu Amewatawalisha humo ili Awatazame mtakayotenda. Basi ogopeni dunia na waogopeni wanawake; hakika fitna ya mwanzo kwa wana wa Israil ilikuwa ni katika wanawake.]      [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله





Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.