0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

049. Riyadhu Swalihina Mlango wa Subira Hadithi ya 25


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وَعَنْ أبي هُرَيْرةَ رَضِيَ اللَّهُ عنه قال : قال رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَا يَزَال الْبَلاءُ بِالْمُؤْمِنِ وَالْمؤمِنَةِ في نَفْسِهِ وَولَدِهِ ومَالِهِ حَتَّى يَلْقَى اللَّه تعالى وَمَا عَلَيْهِ خَطِيئَةٌ»      رواه التِّرْمِذيُّ وقال : حديثٌ حسنٌ صحِيحٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى





Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ: [Muumin hatowacha kupatwa na balaa katika nafsi yake, na watoto wake na mali yake mpaka akutane na Mwenyezi Mungu ilihali hana dhambi.]     [Imepokewa na At-Tirmidhiy, na amesema: Hadiyth hii ni Hasan Swahiyh]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.