June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وَعَنْ أبي هُرَيْرةَ رَضِيَ اللَّهُ عنه قال : قال رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَا يَزَال الْبَلاءُ بِالْمُؤْمِنِ وَالْمؤمِنَةِ في نَفْسِهِ وَولَدِهِ ومَالِهِ حَتَّى يَلْقَى اللَّه تعالى وَمَا عَلَيْهِ خَطِيئَةٌ» رواه التِّرْمِذيُّ وقال : حديثٌ حسنٌ صحِيحٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ: [Muumin hatowacha kupatwa na balaa katika nafsi yake, na watoto wake na mali yake mpaka akutane na Mwenyezi Mungu ilihali hana dhambi.] [Imepokewa na At-Tirmidhiy, na amesema: Hadiyth hii ni Hasan Swahiyh]