0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

043. Riyadhu Swalihina Mlango wa Subira Hadithi ya 19


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وعن أنس رضي اللَّه عنه قال : قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « إِذَا أَرَادَ اللَّهُ بعبْدِهِ خَيْراً عجَّلَ لَهُ الْعُقُوبةَ في الدُّنْيَا ، وإِذَا أَرَادَ اللَّه بِعبدِهِ الشَّرَّ أمسَكَ عنْهُ بذَنْبِهِ حتَّى يُوافِيَ بهِ يَومَ الْقِيامةِ
وقَالَ النبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « إِنَّ عِظَمَ الْجزاءِ مَعَ عِظَمِ الْبلاءِ ، وإِنَّ اللَّه تعالى إِذَا أَحَبَّ قَوماً ابتلاهُمْ ، فَمنْ رضِيَ فلَهُ الرضَا ، ومَنْ سَخِطَ فَلَهُ السُّخْطُ »    رواه الترمذي وقَالَ: حديثٌ حسنٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu : [Mwenyezi Mungu Anapompendea mja Wake kheri , Humuharakishia adhabu duniani. Na anapomtakia shari mja Wake, Huzuia dhambi zake ili Amlipe siku ya Qiyama.]

Na amesema Mtume [Malipo makubwa yapo pamoja na mitihani kubwa. Hakika Mwenyezi Mungu Anapowapenda watu, Huwapa mitihani; atakayeridhika, basi atapata Radhi (za Mwenyezi Mungu), na atakayechukia, atapata Hasira (za Mwenyezi Mungu).]   [Imepokewa na At-Tirmidhiy, na amesema Hadithi hii ni Hassan]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.