0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

042. Riyadhu Swalihina Mlango wa Subira Hadithi ya 18

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن ابن مَسعُودٍ رضي اللَّه عنه قال : لمَّا كَانَ يَوْمُ حُنَيْنٍ آثر رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم نَاساً في الْقِسْمَةِ : فأَعْطَى الأَقْرعَ بْنَ حابِسٍ مائةً مِنَ الإِبِلِ وأَعْطَى عُييْنَةَ بْنَ حِصْنٍ مِثْلَ ذلِكَ ، وأَعطى نَاساً منْ أشرافِ الْعربِ وآثَرهُمْ يوْمئِذٍ في الْقِسْمَةِ . فَقَالَ رجُلٌ : واللَّهِ إنَّ هَذِهِ قِسْمةٌ ما عُدِلَ فِيها ، وما أُريد فِيهَا وَجهُ اللَّه ، فَقُلْتُ: واللَّه لأُخْبِرَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، فأتيتُهُ فَأخبرته بِما قال ، فتغَيَّر وَجْهُهُ حتَّى كَانَ كَالصِّرْفِ . ثُمَّ قال : « فَمنْ يَعْدِلُ إِذَا لَمْ يعدِلِ اللَّهُ ورسُولُهُ ؟ ثم قال : يرحَمُ اللَّهُ موسى قَدْ أُوْذِيَ بِأَكْثَرَ مِنْ هَذَا فَصبرَ » فَقُلْتُ: لا جرمَ لا أَرْفعُ إلَيه بعْدها حدِيثاً.     متفقٌ عليه
وقَوْلُهُ « كَالصِرْفَ » هُو بِكسْرِ الصادِ الْمُهْملةِ : وَهُوَ صِبْغٌ أَحْمَرُ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى




Kutoka kwa Abdullaah bin Mas’uwd Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Siku ya vita vya Hunayn, Mtume  aliwafadhilisha baadhi ya watu katika mgao: akampa Al-Aqra’ bin Haabis ngamia mia moja, akampa Uyaynah bin Hiswn mfano wake, na akawapa watu watukufu wa Kiarabu na akawafadhilisha katika mgao siku hiyo. Mtu mmoja akasema: “Wa-Allaahi huu ni mgao usio na uadilifu! Wala haujakusudiwa radhi ya Mungu!” Nikasema: “Wa-Allaahi nitamuelezea Mtume wa Mwenyezi Mungu; nikaenda na kumueleza aliyosema. (nilipomuelezea) ukabadilika Uso wa Mtume  hata ukawa mwekundu. Kisha akasema: [Ni nani atakaefanya uadilifu ikiwa Mwenyezi Mungu  na Mtume wake Hawakufanya uadilifu?] Halafu akasema: [Mungu Amraham Musa, hakika aliudhiwa zaidi ya hivi na akasubiri!] Nikasema: “Kwa hakika sitomueleza tena (mazungumzo kama haya ya kumuudhi).”    [Imepokewa naBukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.