June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
– وَعنْ أَبي سَعيدٍ وأَبي هُرَيْرة رضي اللَّه عَنْهُمَا عن النَّبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ : «مَا يُصِيبُ الْمُسْلِمَ مِنْ نَصَبٍ وَلاَ وَصَبٍ وَلاَ هَمٍّ وَلاَ حَزَن وَلاَ أَذًى وَلاَ غمٍّ ، حتَّى الشَّوْكَةُ يُشَاكُها إِلاَّ كفَّر اللَّه بهَا مِنْ خطَايَاه » متفقٌ عليه
و« الْوَصَب » : الْمرضُ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Kutoka kwa Abuu Sa’iyd na Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yao wamepokea kutoka kwa Mtume ﷺ kuwa amesema: [Muislamu hatopatwa na tabu, wala maradhi, wala hamu, wala huzuni, wala udhia, wala ghamu (sononeko) hata akichomwa na mwiba, isipokuwa Allaah Humfutia madhambi yake kwa sababu ya (matatizo) hayo.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]