0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

036. Riyadhu Swalihina Mlango wa Subira Hadithi ya 12


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وعنْ أَبي عبْدِ الرَّحْمنِ عبْدِ اللَّه بنِ مسْعُودٍ رضيَ اللَّه عنه قَال : كَأَنِّي أَنْظُرُ إِلى رسولِ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يحْكيِ نَبيّاً من الأَنْبِياءِ ، صلواتُ اللَّهِ وسَلاَمُهُ عَليْهم ، ضَرَبُهُ قَوْمُهُ فَأَدْمـوْهُ وهُو يمْسحُ الدَّم عنْ وجْهِهِ ، يقُولُ : « اللَّهمَّ اغْفِرْ لِقَوْمي فإِنَّهُمْ لا يعْلمُونَ »   متفقٌ عَلَيْه


Kutoka kwa Abuu Abdir-Rahmaan, Abdulaah bin Mas’uwd Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Kana kwamba namuona Mtume  akieleza kuhusu Nabiy fulani, Rehema za Allah ziwe juu yao. Watu wake walimpinga na kumtoa damu usoni mwake, na huku akifuta damu kwenye uso wake huku akiomba: [Ewe Mola! Waghufurie kaumu yangu, kwani wao hawajui!]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.