0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

035. Riyadhu Swalihina Mlango wa Subira Hadithi ya 11


BUSTANI YA WATU WEMA


وعنْ عطاءِ بْن أَبي رَباحٍ قالَ : قالَ لِي ابْنُ عبَّاسٍ رضي اللَّهُ عنهُمَا ألا أريكَ امْرَأَةً مِن أَهْلِ الجَنَّة ؟ فَقُلت : بلَى ، قَالَ : هذِهِ المْرأَةُ السوْداءُ أَتَتِ النبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فقالَتْ : إِنِّي أُصْرَعُ ، وإِنِّي أَتكَشَّفُ ، فَادْعُ اللَّه تعالى لِي قَالَ : « إِن شئْتِ صَبَرْتِ ولكِ الْجنَّةُ، وإِنْ شِئْتِ دعَوْتُ اللَّه تَعالَى أَنْ يُعافِيَكِ » فقَالتْ : أَصْبرُ ، فَقالت : إِنِّي أَتَكشَّفُ ، فَادْعُ اللَّه أَنْ لا أَتكشَّفَ ، فَدَعَا لَهَا .  متَّفقٌ عليْهِ


ترجمة عطاء بن أبي رباح



1شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



2شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


Kutoka kwa ‘Atwaa bin Abiy Rabaah amesema: ’Abdullaah bin ‘Abbaas Radhi za Allah ziwe juu yao aliniambia: Je, nikuonyeshe mwanamke ambae ni katika watu wa Peponi?” Nikwambia: kwanini? Akasema “Ni huyu mwanamke mweusi, alimuendea Mtume  na kamwambia: “Mimi nina kifafa na huwa nafichulika wazi (sehemu za siri kinaponijia), niombee Mwenyezi Mungu (anipoze).” Akamwambia: [Ukitaka subiri na uingie Peponi na ukitaka nitamuomba Mwenyezi Mungu Akuponye.] Akasema: “Nitasubiri lakini mimi nafichulika wazi basi niombee Mwenyezi Mungu nisifichulike wazi (nisitirike nguo isinifunuke).” (Mtume ﷺ) Akamuombea.     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.