BUSTANI YA WATU WEMA
{قال اللَّه تعالى : {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اصْبِرُوا وَصَابِرُوا
{قال اللَّه تعالى: {وَلَنَبْلُوَنَّكُم بِشَيْءٍ مِّنَ الْخَوْفِ وَالْجُوعِ وَنَقْصٍ مِّنَ الْأَمْوَالِ وَالْأَنفُسِ وَالثَّمَرَاتِ ۗ وَبَشِّرِ الصَّابِرِينَ
{وقال تعالى : {إِنَّمَا يُوَفَّى الصَّابِرُونَ أَجْرَهُم بِغَيْرِ حِسَابٍ
{وقال تعالى : {وَلَمَن صَبَرَ وَغَفَرَ إِنَّ ذَٰلِكَ لَمِنْ عَزْمِ الْأُمُورِ
{وقال تعالى: {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اسْتَعِينُوا بِالصَّبْرِ وَالصَّلَاةِ ۚ إِنَّ اللَّهَ مَعَ الصَّابِرِينَ
{وقال تعالى: {وَلَنَبْلُوَنَّكُمْ حَتَّىٰ نَعْلَمَ الْمُجَاهِدِينَ مِنكُمْ وَالصَّابِرِينَ وَنَبْلُوَ أَخْبَارَكُمْ
مقدمة والتعليق على آيات الباب مع فضيلة الشيخ خالد السبت حفظه الله تعالى
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Enyi mlio amini! Subirini, na shindaneni kusubiri,] [Suurat Al ‘Imran:200]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa mali na watu na matunda. Na wabashirie wanao subiri] [Al-Baqara:155]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Hakika wenye subira watapewa ujira wao bila ya hisabu.] [Azzumar:10]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na anaye subiri, na akasamehe, hakika hayo ni katika mambo ya kuazimiwa.] [Ash-shuura:43]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Enyi mlio amini! Takeni msaada kwa subira na Sala. Hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja na wanao subiri.] [Al-Baqara:153]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na bila ya shaka tutakujaribuni mpaka tuwadhihirishe wapignao Jihadi katika nyinyi na wanao subiri. Nasi tutazifanyia mtihani khabari zenu.] [Muh’ammad:31]