0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

028. Riyadhu Swalihina Mlango wa Subira Hadithi ya 04


BUSTANI YA WATU WEMA


– وعنْ أَنسٍ رضِيَ الله عنْهُ قَالَ : لمَّا ثقُلَ النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم جَعَلَ يتغشَّاهُ الكرْبُ فقَالتْ فاطِمَةُ رَضِيَ الله عنْهَا : واكَرْبَ أبَتَاهُ ، فَقَالَ : « ليْسَ عَلَى أبيك كرْبٌ بعْدَ اليَوْمِ » فلمَّا مَاتَ قالَتْ : يَا أبتَاهُ أَجَابَ ربّاً دعَاهُ ، يا أبتَاهُ جنَّةُ الفِرْدَوْسِ مأوَاهُ ، يَا أَبَتَاهُ إِلَى جبْريلَ نْنعَاهُ ، فلَمَّا دُفنَ قالتْ فاطِمَةُ رَضِيَ الله عَنهَا : أطَابتْ أنفسُكُمْ أَنْ تَحْثُوا عَلَى رسُول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم التُّرابَ ؟     روَاهُ البُخاريُّ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Anas bin Maalik Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume : alipozidiwa Mtume na uchungu wa Mauti akawa anapata shida (kwa sababu ya uchungu), Faatimah Radhi za Allah ziwe juu yake  akasema: “Ee uchungu gani unaomshika baba yangu.” Mtume akasema: [Hatopata tena shida Baba yako baada ya leo.] Alipofariki (Mtume ) Faatimah Radhi za Allah ziwe juu yake akasema: “Ewe baba yangu ameitika wito wa Mola wako! Ewe baba yangu Jannah ya Al-Firdaws ndio mashukio yako. Ewe baba yangu! Kwa Jibril tunamuombeleza!” Na Alipozikwa, Fatwima alisema: [Nyoyo zenu zimeridhika kwa kumiminia mchanga Mtume wa Mwneyezi Mungu ?]     [Imepokewa na Bukhari]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.