0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

008. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ikhlas Hadithi ya 08


BUSTANI YA WATU WEMA


وعَنْ أبي مُوسَى عبْدِ اللَّهِ بْنِ قَيْسٍ الأَشعرِيِّ رضِي الله عنه قالَ: سُئِلَ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم عَنِ الرَّجُلِ يُقاتِلُ شَجَاعَةً ، ويُقاتِلُ حَمِيَّةً ويقاتِلُ رِياءً ، أَيُّ ذلِك في سَبِيلِ اللَّهِ؟ فَقَالَ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَنْ قاتَلَ لِتَكُون كلِمةُ اللَّهِ هِي الْعُلْيَا فهُوَ في سَبِيلِ اللَّهِ »     مُتَّفَقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abu Musa Al Ash’ary Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake Amesema: Aliulizwa Mtumekuhusu mtu anaepigana kwa ajili ya kuambiwa ni shujaa,na anaepigana kwa ya kabila,na anaepigana kwa ajili ya ria (kujionyesha) ni yupi katika hao ambae yuko katika njia ya Mwenyezi Mungu ? Akasema Mtume   [Anaepigana kwa ajili ya neno la Mwenyezi Mungu liwe juu, basi huyo ndie yuko katika njia ya Mwenyezi Mungu.]      [Imepokelewa na Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.