0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

009. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ikhlas Hadithi ya 09


BUSTANI YA WATU WEMA


وعن أبي بَكْرَة نُفيْعِ بْنِ الْحارِثِ الثَّقفِي رَضِي الله عنه أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: «إِذَا الْتقَى الْمُسْلِمَانِ بسيْفيْهِمَا فالْقاتِلُ والمقْتُولُ في النَّارِ» قُلْتُ : يَا رَسُول اللَّهِ ، هَذَا الْقَاتِلُ فمَا بَالُ الْمقْتُولِ ؟ قَال: «إِنَّهُ كَانَ حَرِيصاً عَلَى قَتْلِ صَاحِبِهِ»       متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abu Bakra Nufayi Binul Haarith Athaqafiy Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake kwamba Mtume  amesema: [Waislau wawili wakipigana kwa panga zao, basi Muuwaji na aliyeuliwa wataingia Motoni.] Nikauliza Ewe Mtume wa Mungu huyu aliyeuwa (ni sawa kuingia motoni) je Aliyeuliwa? Akasema [Yeye alikuwa na hamu ya kumuuwa mwenzie]    [Imepokelewa na Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.