0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

KUHAMA KWA ABU BAKAR (R.A.) KUELEKEA MADINAH

KUHAMA KWA ABU BAKAR (RADHI ZA ALLAH ZIWE JUU YAKE) KUELEKEA MADINAH

Mtume  ﷺ alipowaamrisha Masahaba wake kuhamia Madinah, wakaanza kuhama, Abu Bakar (r.a.) alienda kwa Mtume ﷺ kumuomba ruhusa ya kuhama. Mtume ﷺ akamuamuru asubiri huku akitaraji kupata ruhusa ya kuhama ili wapate kuhama pamoja.Na muda aliporuhusiwa, walihama pamoja. Mwenyezi Mungu ameashiria jambo hilo aliposema:

{إِلَّا تَنصُرُوهُ فَقَدْ نَصَرَهُ اللَّهُ إِذْ أَخْرَجَهُ الَّذِينَ كَفَرُوا ثَانِيَ اثْنَيْنِ إِذْ هُمَا فِي الْغَارِ إِذْ يَقُولُ لِصَاحِبِهِ لَا تَحْزَنْ إِنَّ اللَّهَ مَعَنَا}

[Ikiwa nyinyi hamtamnusuru Mtume, basi Mwenyezi Mungu alikwisha mnusuru walipo mtoa walio kufuru, naye ni wa pili katika wawili walipo kuwa katika pango, naye akamwambia sahibu yake: Usihuzunike. Hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja nasi.]

[9:40]

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.