166 – MLANGO: SUNNAH YA KUSAFIRI SIKU YA ALKHAMISI NA MWANZO WA MCHANA
باب استحباب الخروج يوم الخميس واستحبابه أول النهار
عن كعبِ بن مالك، رَضيَ اللَّهُ عنه، أَنَّ النبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم خَرَجَ في غَزْوَةِ تَبُوكَ يَوْمَ الخَمِيسِ، وَكَانَ يُحِبُّ أَنْ
يَخْرُجَ يَوْمَ الخَمِيس. متفقٌ عَلَيْهِ
وفي رواية في الصحيحين:”لقلَّما كانَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَخْرُجُ إِلاَّ في يَوم الخَمِيسِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
KITABU: NIDHAMU ZA SAFARI
166 – MLANGO: SUNNAH YA KUSAFIRI SIKU YA ALKHAMISI NA MWANZO WA MCHANA
Imepokewa kutoka kwa Ka’b bin Mâlik ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia kuwa Mtume ﷺ alitoka katika Vita vya Tabûk siku ya Alkhamisi, na alikuwa akipenda kusafiri siku ya Alkhamisi.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].
Riwaya nyingine ya Bukhârî na Muslim imesema: “Ni mara chache mno Mtume ﷺ kusafiri siku isiyokuwa Alkhamisi.”