0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

KITABU CHA ADABU ZA KULALA

127. MLANGO WA ADABU ZA KULALA, KUJINYOOSHA, KUKETI, BARAZANI, MTU ALIYEKETI NAYE NA NDOTO

باب آداب النَوم والاضْطِجَاع وَالقعُود والمَجلِس وَالجليس وَالرّؤيَا


عن الْبَراءِ بن عازبٍ رضيَ اللَّه عنهما قَالَ: كَانَ رَسُولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إِذَا أَوَى إِلَى فِرَاشِهِ نَامَ عَلى شِقَّهِ الأَيمنِ، ثُمَّ قَالَ: “اللَّهُمَّ أَسْلَمْتُ نَفْسِي إليْكَ، وَوجَّهْتُ وَجْهي إلَيْكَ، وفَوَّضْتُ أَمْرِي إلَيْكَ، وَأَلجَأْتُ ظهْري إلَيْكَ، رَغْبةً وَرهْبَةً إلَيْكَ، لا مَلْجأ ولا مَنْجى مِنْكَ إلاَّ إلَيْكَ، آمَنْتُ بِكتَابكَ الَّذِي أَنْزلتَ، وَنَبيِّكَ الَّذِي أَرْسَلْتَ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



127. MLANGO: NIDHAMU ZA KULALA, KUJINYOOSHA, KUKETI, BARAZANI, MTU ALIYEKETI NAYE NA NDOTO


Imepokewa Al-Barâ bin ‘Âzib (Radhi za Allah zie juu yake) amesema: “Mtume ﷺ alikuwa anapofika kitandani mwake, hulala kwa ubavu wake wa kulia kisha akiomba: “Allâhumma aslamtu nafsî ilayk, wawajjahtu wajhî ilayk, wafawwadhtu amrî ilayk, wa alja’tu dhwahrî ilayk, raghbatan warahbatan ilayk, lâ malja-a walâ manjâ minka illâ ilayk, âmantu bikitâbikalladhî anzalt, wa nabbiyyikalladhî arsalt.” [Ewe Mola, nimejisalimisha Kwako, uso wangu nimeuwelekeza Kwako, mambo yangu nimekuachia Wewe, nimekuegemea Wewe kwa kutumai thawabu Zako na kuogopa dhambi Zako, hakuna pa kuegemea wala pa kukuepuka ela ni Kwako. Nimekiamini Kitabu Ulichoteremsha na Mtume Wako Uliemtuma].” 

   [ Imepokewa na Bukhari.]


Begin typing your search above and press return to search.