0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

KITABU CHA KUMTEMBELEA MGONJWA

144. MLANGO WA KUMTEMBELEA MGONJWA, KUSINDIKIZA MAITI (JENEZA), KUMSWALIA, KUHUDHURIA MAZISHI YAKE NA KUKETI KABURINI MWAKE BAADA YA KUMZIKA

[كتاب عيادة المريض وتشييع الميت]

[باب عيادة المريض]


عن البَراء بن عازِبٍ رضي الله عنهما قَالَ: أمَرنَا رَسُول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم بِعيَادةٍِ المَريض، واتِّباع الجَنَازَةِ، وتَشْمِيتِ العَاطسِ، وَإبْرار المُقْسِم ونَصْرِ المَظْلُوم، وَإجَابَةِ الدَّاعِي، وَإفْشَاءِ السَّلاَمِ.       متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



144. MLANGO WA KUMTEMBELEA MGONJWA, KUSINDIKIZA MAITI (JENEZA), KUMSWALIA, KUHUDHURIA MAZISHI YAKE NA KUKETI KABURINI MWAKE BAADA YA KUMZIKA


Imepokewwa na Al-Barâ bin ‘Âzib (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Mtume ﷺ ametuamrisha kumzuru mgonjwa, kufwata jeneza, kumwombea dua aliepiga chafya, kumfanyia aliyeapa lile alitakalo, kumnusuru aliedhulumiwa, kumuitika aliealika na kueneza salamu.”  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].

 


Begin typing your search above and press return to search.