0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

KITABU CHA FADHILA

كتَاب الفَضَائِل

١٨٠- باب فضل قراءة القرآن


 عن أَبي أُمامَةَ رضي اللَّه عنهُ قَالَ: سمِعتُ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقولُ: “اقْرَؤُا القُرْآنَ فإِنَّهُ يَأْتي يَوْم القيامةِ شَفِيعاً لأصْحابِهِ”       رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



KITABU: NIDHAMU ZA SAFARI


180 – MLANGO: FADHILA ZA KUSOMA QUR’ÂNI


Imepokewa kutoka kwa Abû Umâmah ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Nilimsikia Mtume akisema: “Someni Qur’âni, hakika (hiyo Qur’âni) itakuja – Siku ya Qiyama – hali ya kuwaombea watu wake.”   [ Imepokewa na Muslim. ]

Begin typing your search above and press return to search.