0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

ARBAIN NAWAWIY HADITHI YA 41 KUMFUATA MTUME ﷺ


الحديث الحادي والأربعون


“لا يؤمن أحدكم حتى يكون هواه تبعا لما جئت به”


عَنْ أَبِي مُحَمَّدٍ عَبْدِ اللَّهِ بِنْ عَمْرُو بِنْ العَاصِ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا قَالَ : قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وآله وسلم :[لا يُؤْمِنُ أَحَدُكُمْ حَتَّى يَكُونَ هَوَاهُ تَبَعَاً لِمَا جِئْتُ بِهِ]

حَدِيثٌ حَسَنٌ صَحِيحٌ، رَوَيْنَاهُ فِي كِتَابِ “الْحُجَّةِ بِإِسْنَادٍ صَحِيحٍ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 41


KUMFUATA MTUME ﷺ


Kutoka kwa Abu Muhammad Abdullah Ibn ‘Amr Bin Al-‘As Radhi za Allah ziwe juu yakr  ambae alisema : Mtume ﷺ kasema:

[Hatokua kaamini mmoja wenu mpaka matamanio yake yatafuata yale nilo kuja nayo]

[Hadithi Hasan iliyotoka katika kitabu “Al-Hujjah” ikiwa na mtiriko mzuri wa mapokezi]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.