0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

915. Riyadhu Swalihina Mlango wa kufaa kwa mgonjwa kusema “Mimi na umwa” Au Nina maumivu makali”….

باب جواز قول المريض: أنَا وجع، أَوْ شديد الوجع أَوْ مَوْعُوكٌ أَوْ”وارأساه”ونحو ذلك وبيان أنَّه لا كراهة في ذلك إِذَا لَمْ يكن عَلَى سبيل التسخط وإظهار الجزع


وعن سعدِ بن أَبي وَقَّاص رضي اللَّه عنه قَالَ: جَاءَني رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يعودُني مِن وجعٍ اشَتدَّ بِي، فَقُلْتُ: بلَغَ بِي مَا تَرَى، وأَنَا ذُو مَالٍ، وَلا يرِثُني إِلاَّ ابْنَتِي. وذَكر الحديث،        متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



149. MLANGO WA KUFAA MGONJWA KUSEMA: “MIMI NAUMWA”, AU “NINA MAUMIVU MAKALI”, AU “NINA HOMA”, AU “OH! KICHWA CHANGU” NA MFANO WAKE, NA KUBAINISHA KUWA HAPANA MAKRUHU KATIKA JAMBO HILO IWAPO SI KWA SABABU YA KUDHIHIRISHA UCHUKIVU NA KUONYESHA BABAIKO


Imepokewwa na Sa’d bin Abî Waqqâs (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ alinitembelea kutokana na ugonjwa uliokuwa umenishitadi. Nikamwambia: “Yâ Rasûlallâh, ugonjwa umenifikisha kama unionavyo, nami ni mwenye mali nyingi, wala hakuna atakayenirithi ispokuwa binti yangu (mmoja tu)…” akaendelea mpaka mwisho wa Hadîth [Tazama Hadîth ya 6]. ” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.