الحديث التاسع
“ما نهيتكم عنه فاجتنبوه”
عن أبي هُرَيْرةَ عَبْدِ الرَّحمنِ بنِ صَخْرٍ رضي الله عنه قال : سمِعْتُ رسولَ اللهِ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ: [ما نَهَيْتُكُمْ عَنْهُ فَاجتَنبوهُ، وَمَا أَمَرْتُكُمْ بِهِ فأتُوا مِنْهُ مَا اسْتَطَعْتُمْ، فإنَّما أَهْلَكَ الَّذينَ مِنْ قَبْلِكُمْ كَثْرَةُ مَسَائِلِهِمْ واخْتلاُفُهُمْ على أَنْبِيَائِهِمْ
رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ وَمُسْلِمٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى
HADITHI YA 9
NILICHOKUKATAZENI KIEPUKENI
Kutoka kwa Abu Hurayra Abdur Rahman Ibn Sakhr Al-Ddawsy ambaye alisema kuwa Mtume Rehma na amani zimfikie yeye kasema:
[Kile nilichokukatazeni kiepukeni, Na kile nilichokuamrisheni fanyeni kwa kadiri muwezavyo. Hakika kilichowaangamiza watu wa Umma zilizopita, ni masuala (mahojiano) mengi na kupingana na Mitume yao.]
[Imepokelewa na Bukhari na Muslim]
Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab sehemu ya kwanza
Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab sehemu ya pili