الحديث السابع
“الدين النصيحة”
عن أبي رُقَيَّةَ تَمِيمِ بنِ أوْسٍ الدَّارِيِّ رضي اللهُ عنه: أَنَّ النَّبي صلى الله عليه وسلم قالَ:[الدِّينُ النَّصِيحَةُ]. قُلْنَا: لِمَنْ ؟ قالَ: [للهِ، ولِكِتَابِهِ، ولِرَسُولِهِ، ولِلأَئِمةِ المُسْلِمِينَ، وعامَّتِهِمْ
رَوَاهُ مُسْلِمٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى
HADITHI YA 7
DINI NI NASIHA
Kutoka kwa Abu Ruqayyah Tamim Ibn Aus Addarry Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye amesema kuwa Bwana Mtume Rehma na amani zimfikie yeye kasema:
[Dini ni nasiha.] Tukauliza: Kwa nani? Akasema [Kwa Allaah, na Kitabu chake, na Mtume wake na kwa Viongozi wa Waislamu na watu wa kawaid]
[Imepokelewa na Muslim]
Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab sehemu ya kwanza
Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab sehemu ya pili