0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

ARBAIN NAWAWIY HADITHI YA 39 KUSAMEHEWA KWA KUSAHAU


الحديث التاسع والثلاثون


 “إن الله تجاوز لي عن أمتي الخطأ والنسيان”


عَن ابْنِ عَبَّاسِ رَضِيَ الله عَنْهُما: أن رَسُوَل اللهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ : [إنَّ الله تَجاوَزَ لِي عَنْ أُمَّتي: الْخَطَأَ، والنِّسْياَنَ، وَمَا اسْتُكْرِهُوا عَلَيْهِ]
حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَاهُ ابْنُ مَاجَهْ وَالْبَيْهَقِيّ وَغيرهما


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 39


KUSAMEHEWA KWA KUSAHAU


Kutoka kwa Ibn ‘Abbaas ambaye amesema kwamba Mtume ﷺ kasema: [Mwenyezi mungu Amewasamehe kwa ajili yangu umma wangu kwa kukosea, kusahau, na yale wanayoyafanya kwa kulazimishwa kwa nguvu (ambayo hawana khiyari nayo)]
[Imepokelewa na Ibn Maajah na Al-Bayhaqi]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.