0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

ARBAIN NAWAWIY HADITHI YA 30 KUSIMAMA KATIKA MIPAKA YA MWENYEZI MUNGU


الحديث الثلاثون


 “إن الله تعالى فرض فرائض فلا تضيعوها”


عَنْ أَبيِ ثَعْلَبَةَ الخُشَنِيِّ جُرْثُومِ بْن نَاشرٍ رضي الله عنه عَنْ رَسُولِ اللهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ
[ إنّ اللهَ تَعَالى فَرَضَ فَرَائِضَ فَلاَ تُضَيّعوهاَ وَحَدَّ حُدُودَاً فَلاتَعْتَدُوهَا وَحَرّمَ أَشْياءَ فَلاَتَنْتَهِكُوهَا وَسَكَتَ عَنْ أَشْيَاءَ رَحْمَةً لَكُمْ غَيْرَ نِسْيانٍ فَلا تَبْحَثُوا عَنْهَا]
حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَاهُ الدَّارَقُطْنِيّ وَغَيْرُهُ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 30


KUSIMAMA KATIKA MIPAKA YA MWENYEZI MUNGU


Kutoka kwa Abu Tha’alaba Al-Khushani Jurthuum Ibn Naashib Radhi za Allah ziwe juu yake naye kapokea kwa Mtume ﷺ: [Mwenyezi Mungu amefaridhisha mambo ya dini kwa hivyo usiyapuuze. Vile vile kaweka mipaka usiikiuke. Amekataza baadhi ya mambo kwa hivyo usifanye. Yale aliyoyanyamazia ni kwa ajili ya huruma zake kwako wala hakusahau kwa hivyo usiyadadisi.]
[Imepokelewa na Daaraqutni na wengineo . Hadithi Hasan]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.