0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

ARBAIN NAWAWIY HADITHI YA 26 KILA KIUNGO CHA MTU LAZIMA KITOLEWE SADAKA


الحديث السادس والعشرون


“كل سلامى من الناس عليه صدقة”


عن أَبي هُرَيْرَةَ رَضي اللهُ عنه قال: قالَ رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم:[كُلُّ سُلامَى مِنَ النَّاسِ عليه صَدَقَةٌ، كُلُّ يَوْمٍ تَطْلُعُ فِيهِ الشَّمْسُ: تَعْدِلُ بَيْنَ اثْنَيْنِ صَدَقَةٌ، وتُعينُ الرَّجُلَ في دَابَّتِهِ فَتَحْمِلُهُ عَلَيْها أو تَرْفَعُ لهُ عَلَيْها متَاَعَهُ صَدَقَةٌ، والْكَلِمةُ الطَّيِّبةُ صَدَقَةٌ، وبكُلِّ خَطْوَةٍ تَمشِيها إلى الصَّلاةِ صَدَقَةٌ، وتُمِيطُ الأَذَى عنِ الطَّرِيِق صَدَقَةٌ]

رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ وَمُسْلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 26


KILA KIUNGO CHA MTU LAZIMA KITOLEWE SADAKA


Kutoka kwa Abu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye alisema : Mtume ﷺ kasema :

[Kila kiungo cha mtu lazima kitolewe sadaka kila siku jua linapochomoza, kufanya haki (uadilifu) baina ya watu wawili ni sadaka, kumsaidia mtu kupanda (mnyama) kwa kumsaidia kumnyanyua au kumnyanyulia mizigo yake ni sadaka, neno jema ni sadaka, kila hatua unayokwenda kuswali ni sadaka, kuondosha dhara katika njia ni sadaka.]

[Imepokelewa na Al-Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.