BUSTANI YA WATU WEMA
عنْ أَبِي عبدِ اللَّه طارِقِ بنِ شِهابٍ الْبُجَلِيِّ الأَحْمَسِيِّ رضي اللَّه عنه أَنَّ رجلاً سأَلَ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، وقَدْ وَضعَ رِجْلَهُ في الغَرْزِ : أَيُّ الْجِهادِ أَفْضَلُ؟ قَالَ : «كَلِمَةُ حقٍّ عِنْدَ سُلْطَانٍ جائِر » رَوَاهُ النسائيُّ بإسنادٍ صحيحٍ
Kutoka kwa Abu ‘Abdillaah Twaariq bin Shihaab Al-Bajaliy Al-Ahmasiy Radhi za Allah ziwe juu yake ya kwamba, mtu mmoja alimuuliza Mtume ﷺ ambaye alikuwa tayari ameweka mguu kwenye kipandio (sehemu ya kuweka mguu wakati ukitaka kupanda Ngamia) akasema: Ni Jihadi gani iliyobora kabisa? (Mtume ﷺ) Akasema: [Kusema neno la uadilifu mbele ya Mtawala jeuri.] [Imepokewa na An-Nasaai]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله