0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

082. Riyadhu Swalihina Mlango wa Yakini na Kumtegemea Mwenyezi Mungu Hadithi ya 09

BUSTANI YA WATU WEMA

عَنْ أُمِّ المُؤمِنِينَ أُمِّ سلَمَةَ ، واسمُهَا هِنْدُ بنْتُ أبي أُمَيَّةَ حُذَيْفةَ المخزومية رضي اللَّهُ عنها أن النبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم كانَ إذَا خَرجَ مِنْ بيْتِهِ  قالَ : « بسم اللَّهِ، توكَّلْتُ عَلَى اللَّهِ، اللَّهُمَّ إِنِّي أعوذُ بِكَ أنْ أَضِلَّ أو أُضَلَّ ، أَوْ أَزِلَّ أوْ أُزلَّ ، أوْ أظلِمَ أوْ أُظلَم ، أوْ أَجْهَلَ أو يُجهَلَ عَلَيَّ » حديثٌ صحيحٌ رواه أبو داود والتِّرمذيُّ وَغيْرُهُمَا بِأسانِيدَ صحيحةٍ . قالَ التِّرْمذي : حديثٌ حسنٌ صحيحٌ ، وهذا لَفظُ أبي داودَ


Kutoka kwa Mama wa Waumini, Ummu Salamah, jina lake ni Hindu bint Abiy Umayyah Hudhayfah Al-Makhzumiyyah Radhi za Allah ziwe juu yake kuwa Mtume alikuwa anapotoka nyumbani kwake husema: [Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Nimeegemea kwa Mwenyezi Mungu. Ewe Mola, kwa hakika najilinda Kwako nisije nikapotea au kupotezwa, au nikateleza au nikatelezeshwa, au nikadhumu au nikadhulumiwa au nikafanya ujinga au nikafanyiwa ujinga.]    [Hadithi hii, ni Sahihi imepokelewa na Abuu Dawud, na At-Tirmidhiy na wengineo kwa isnaad Sahihi. At-Tirmidhiy amesema: Hadithi hii ni Hasan Sahih]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.