June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
عَنْ أبي هُرَيْرَةَ رضي اللَّهُ عنهُ قال : قالَ رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : «مِنْ حُسْنِ إِسْلامِ الْمَرْءِ تَرْكُهُ مَالاَ يَعْنِيهِ » حديثٌ حسنٌ رواهُ التِّرْمذيُّ وغيرُهُ
Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ: [Katika uzuri wa Uislaamu wa mtu, ni kuacha lisilomuhusu.] [Hadiyth hii ni Hasan. Imepokewa na At-Tirmidhiy na wengine]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله