0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

ARBAIN NAWAWIY HADITHI YA 20 KUWA NA HAYA NI KATIKA IMANI


الحديث العشرون


“إذا لم تستح فاصنع ما شئت”


عن أبي مَسْعُودٍ عُقْبَةَ بن عمرو الأَنْصَارِيّ البَدْرِيّ رضي اللهُ عنه قال : قالَ رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم: [إِنَّ مما أَدْرَكَ النَّاسُ مِنْ كَلامِ النُّبُوَّةِ الأولَى: إِذا لمْ تَسْتَحِ فاصْنَعْ ما شِئْتَ

رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 20


KUWA NA HAYA NI KATIKA IMANI


Kutoka kwa Abu Mas’ud ‘Uqbah Ibn ‘Amr Al Ansariy Al Badriy Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye amesema kuwa Mtume ﷺ kasema: [Katika maneno ambayo watu waliyapata kutoka kwa Mitume wa mwanzo (waliotangulia) ni haya: “Ikiwa huna haya basi fanya utakalo.]

[Imepokelewa na Al-Bukhari]

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.