February 5, 2025
0 Comments
١٦٤- باب فضل من مات لَهُ أولاد صغار
وعن أَبي هُرَيْرَةَ رضِيَ اللَّهُ عنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “لاَ يَمُوتُ لأِحَدٍ مِنَ المُسْلِمِينَ ثَلاثةٌ مِنَ الوَلَدِ لاَ تمَسُّهُ النَّارُ إِلاَّ تَحِلَّةَ القَسَم” متفقٌ عليه
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
164. MLANGO WA FADHILA ZA ALIYEFIWA NA WATOTO WADOGO
Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Yeyote miongoni mwa Waislamu atakayefiwa na watoto watatu, hataguswa na moto ila kutimiza kile kiapo.” ] [ Wameafikiana Bakhari Muslim ].