0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

163. MLANGO WA WATU KUMSIFU MAITI

١٦٣- باب ثناء الناس عَلَى الميت


 عن أَنسٍ رضي اللَّه عنه قَالَ: مرُّوا بجَنَازَةٍ، فَأَثنَوا عَلَيْهَا خَيراً فَقَالَ النبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم:“وَجَبَتْ”، ثُمَّ مرُّوا بِأُخْرَى، فَأَثنَوْا عَلَيْهَا شَرّاً، فَقَال النَِّبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم:”وَجبَتْ”فَقَال عُمرُ بنُ الخَطَّاب رَضِيَ اللَّه عَنْهُ: ما وجبَتْ؟ قَالَ:”هَذَا أَثنَيتُمْ علَيْهِ خَيراً، فَوَجبتْ لَهُ الجنَّةُ، وهَذَا أَثنَيتُم عَلَيْهِ شَرّاً، فَوَجبتْ لَهُ النًَّارُ، أنتُم شُهَداءُ اللَّهِ في الأرضِ”.      متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



162. MLANGO WA KUMTOLEA SADAKA MAITI NA KUMUOMBEA DUA


Imepokewa kutoka kwa Anas  ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Watu walipita na jeneza, Maswahaba wakalisifu kwa wema, Mtume akasema: “Limepasa.” Kisha wakapita na jeneza lingine, wakalisifu kwa ubaya, Mtume akasema: “Limepasa.” ‘Umar bin al-Khattâb ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) akauliza: “Ni kitu gani kilichopasa?” Mtume akasema: “Huyu mumemsifu kwa wema akapasa kuingia Peponi, na yule mumemsifu kwa ubaya akapasa kuingia motoni. Nyinyi ndio mashahidi wa Allâh ulimwenguni.”     [ Wameafikiana Bakhari Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.