February 3, 2025
0 Comments
١٦٢- باب الصدقة عن الميت والدعاء لَهُ
وعن أَبي هُرَيْرَةَ رَضيَ اللَّه عَنْهُ أنَّ رسُول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “إِذَا مَاتَ الإنسَانُ انقطَعَ عمَلُهُ إلاَّ مِنْ ثَلاثٍ: صَدقَةٍ جاريَةٍ، أوْ عِلم يُنْتَفَعُ بِهِ، أَوْ وَلَدٍ صَالحٍ يَدعُو لَهُ ” رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
162. MLANGO WA KUMTOLEA SADAKA MAITI NA KUMUOMBEA DUA
Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Mwanadamu akifa, amali yake hukatika ila kwa mambo matatu: sadaka inayoendelea, au ilimu inayonufaisha, au mtoto mwema anayemuombea dua.” [ Imepokewa na Muslim.]