0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

159. MLANGO WA KUHARAKISHA KUMLIPIA MAITI DENI LAKE NA KUHARAKISHA KUMWANDAA KWA MAZISHI, ISPOKUWA ATAPOKUFA GHAFLA, HAPO ATAACHWA MPAKA KUTHIBITISHWE KUFA KWAKE

باب الإِسراع بالجنازة

عن أَبي هريرة رضي اللَّه عنه، عن النَّبيّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “نَفْسُ المُؤْمِنِ مُعَلَّقَةٌ بِدَيْنِهِ حَتَّى يُقْضَي عَنْهُ”.      رواه الترمذي وقال: حديث حسنٌ

شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى

159. MLANGO WA KUHARAKISHA KUMLIPIA MAITI DENI LAKE NA KUHARAKISHA KUMWANDAA KWA MAZISHI, ISPOKUWA ATAPOKUFA GHAFLA, HAPO ATAACHWA MPAKA KUTHIBITISHWE KUFA KWAKE

Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake )  amesimulia: “Mtume amesema: “Roho ya Mwumini inazuiwa (kuingia Peponi) kwa deni lake mpaka alipiwe.”    [ Imepokelewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]

Begin typing your search above and press return to search.