0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

158. MLANGO WA KUHARAKISHA JENEZA

باب الإِسراع بالجنازة


عن أَبي هُرَيْرَةَ رضِيَ اللَّهُ عنه عَن النَّبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “أَسْرِعُوا بِالجَنَازَةِ، فَإنْ تَكُ صَالِحَةً، فَخَيْرٌ تُقَدِّمُونها إلَيْهِ، وَإنْ تَك سِوَى ذلِكَ، فَشَرٌّ تَضَعُونَهُ عَنْ رِقَابِكُمْ”     متفقٌ عَلَيْهِ

وفي روايةٍ لمُسْلِمٍ:“فَخَيْرٌ تُقَدِّمُونَهَا عَلَيْه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



158. MLANGO WA KUHARAKISHA JENEZA


Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Harakisheni jeneza, likiwa ni la mtu mwema, itakuwa ni kheri mwamtangulizia, na likiwa ni kinyume chake basi itakuwa ni shari mnaiyondoa shingoni mwenu.”      [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].

Riwaya nyingine ya Muslim imesema: “…basi ni kheri mwamtangulizia.”


Begin typing your search above and press return to search.