0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

937. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kinachosomwa katika swala ya jeneza.

 باب مَا يقرأ في صلاة الجنازة


وعن أبي هُريْرَةَ رَضِي اللَّهُ عَنْهُ قَالَ: سمعتُ رَسُول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقول: “إذ صَلَّيْتُم عَلى المَيِّت، فأَخْلِصُوا لهُ الدُّعاءَ”     رواه أبوداود


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



157. MLANGO WA KINACHOSOMWA KATIKA SWALA YA JENEZA


Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Nilimsikia Mtume وسلم akisema: “Mnapomswalia maiti, mtakasieni dua.”   [ Imepokelewa na Abû Dâwûd.]


Begin typing your search above and press return to search.