0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

 947. Riyadhu Swalihina Mlango wa kumuombea Dua maiti baada ya Kumzika, kuketi kaburini mwake kwa mda ili kumuombea Dua na kumuombea Istighfar….

باب الدعاء للميت بعد دفنه والقعود عند قبره ساعة للدُّعاء له والاستغفار والقراءة


 وعن عمرو بن العاص رضي اللَّه عنه قَالَ: إِذَا دفنتمُوني، فَأقِيمُوا حَوْل قَبرِي قَدْرَ مَا تُنحَرُ جَزُورٌ، ويُقَسَّمُ لحْمُها حَتى أَسْتَأنِسَ بِكم، وأَعْلم مَاذَا أُرَاجِعُ بِهِ رُسُلَ ربِّي.     رواه مسلم. وَقَدْ سبق بطوله

قَالَ الشَّافِعِيُّ رَحِمهُ اللَّه: ويُسْتَحَبُّ أنْ يُقرَأَ عِنْدَهُ شيءٌ مِنَ القُرآنِ، وَإن خَتَمُوا القُرآن عِنْدهُ كانَ حَسناً


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



161. MLANGO WA KUMUOMBEA DUA MAITI BAADA YA KUMZIKA, KUKETI KABURINI MWAKE KWA MDA ILI KUMUOMBEA DUA NA KUMUOMBEA ISTIGHFARI NA KUSOMA (QUR’ÂN)


Imepokewa na ‘Amru bin al-‘Âs  (Radhi za Allah ziwe juu yao) aliusia: “Mtakapomaliza kunizika, kaeni kando ya kaburi langu kadiri ya kuchinjwa ngamia na nyama yake kugawanywa ili nipumbae nanyi na nijue vile nitakavyowajibu Malaika wa Mola wangu.”    [ Imepokewa na Muslim. Imeshatangulia kwa urefu.


Begin typing your search above and press return to search.