0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

157. MLANGO WA KINACHOSOMWA KATIKA SWALA YA JENEZA

باب مَا يقرأ في صلاة الجنازة


يُكَبِّرُ أرْبَعَ تَكبِيرَاتٍ: يَتَعوَّذُ بَعْدَ الأُولَى, ثُمَّ يَقْرَأُ فَاتِحَةَ الكِتَابِ, ثُمَّ يُكَبِّرُ الثَّانِيَةَ, ثُمَّ يُصَلِّي عَلَى النَّبيِّ صلى الله عليه وسلم فيقول: اللَّهُمَّ صَلِّ عَلَى مُحَمَّدٍ, وَعَلَى آلِ مُحَمَّدٍ. والأفضل أن يتمه بقوله: كَمَا صَلَّيتَ عَلَى إبرَاهِيمَ..إِلَى قَوْله: إنك حميد مجيد

شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



157. MLANGO WA KINACHOSOMWA KATIKA SWALA YA JENEZA


Atapiga Takbira Nne: Baada ya takbira ya kwanza, atasoma dua ya kuomba hifadhi, kisha atasoma Suratul Fatiha. Kisha atasema takbira ya pili na kumswalia Mtume Muhammad ﷺ kwa kusema: “Allahumma swalli ala Muhammad, wa ala aali Muhammad” (Ee Mwenyezi Mungu, mswalie Muhammad na watu wa nyumbani ya Muhammad). Inapendekezwa kuongeza kwa kusema: *”Kama ulivomswalia Ibrahim… mpaka mwisho wa dua: Hakika Wewe ni Mhimidi, Mtukufu.”*

Asifanye kama wafanyavyo wengi wa watu wa kawaida kwa kusoma aya: {Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika Wake wanamsalia Mtume}.


Begin typing your search above and press return to search.