0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

155. MLANGO WA KUMSWALIA MAITI, KUSINDIKIZA JENEZA LAKE, KUHUDHURIA MAZISHI YAKE NA UKARAHA WA WANAWAKE KUFWATA JENEZA

باب الصلاة عَلَى الميت وتشييعه وحضور دفنه وكراهة اتباع النساء الجنائز


وَقَدْ سَبَقَ فَضْلُ التَّشْييعِ

عن أَبي هُريرةَ رضيَ اللَّهُ عنه قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “مَنْ شَهِدَ الجنَازَةَ حَتَّى يُصَلَّي عَلَيها فَلَهُ قِيرَاطٌ، وَمَنْ شَهدَهَا حَتَّى تُدْفَنَ فَلَهُ قِيراطَانِ”قيلَ وَمَا القيراطَانِ؟ قَالَ:”مِثْلُ الجَبلَيْنِ العَظِيمَيْنِ”       متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



155. MLANGO WA KUMSWALIA MAITI, KUSINDIKIZA JENEZA LAKE, KUHUDHURIA MAZISHI YAKE NA UKARAHA WA WANAWAKE KUFWATA JENEZA


Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Atakayehudhuria Swala ya jeneza mpaka liswaliwe, atapata Qirati moja, na atakayehudhuria mpaka (maiti) azikwe atapata Qirati mbili.” Akaulizwa: “Qirati mbili ni nini?” Akajibu: “Ni mfano wa majabali mawili makubwa.”    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.