16%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

146. MLANGO WA SUNNAH YA KUWAULIZA JAMAA ZA MGONJWA JUU YA HALI YAKE

[ بابُ استحباب سؤالِ أهلِ المريضِ عَنْ حاِلهِ]


عن ابن عباسٍ، رضي اللَّه عنهما، أَنَّ عليَّ بنَ أَبي طالبٍ، رضي اللَّهُ عنهُ خرجَ مِنْ عِنْدِ رسولِ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم في وجَعِهِ الذِي تُوُفيِّ فِيهِ، فقالَ النَّاسُ: يَا أَبَا الحسنِ، كَيفَ أَصْبَحَ رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: أَصْبحَ بِحمْد اللَّهِ بَارِئاً. رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



146. MLANGO WA SUNNAH YA KUWAULIZA JAMAA ZA MGONJWA JUU YA HALI YAKE


Imepokewwa na ‘Abdullâh bin ‘Abbâs (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia kuwa ‘Alî bin Abîtâlib (Radhi za Allah ziwe juu yao) alipotoka kwa Mtume ﷺ katika maradhi yake aliyofia, watu walimwuliza: “Ewe Abalhasan, Mtume ﷺ amepambaukiwa vipi?” Akasema: “Amepambaukiwa – kwa Himdi za Mola – amepona.”     [ Imepokewa na Bukhârî ].


Begin typing your search above and press return to search.