0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

906. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Dua anayoombewa Mgonja.

[باب مَا يُدعى به للمريض]


وعن ابن عباسٍ، رضي اللَّه عنهما، عن النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “مَنْ عَادَ مَرِيضاً لَمْ يَحْضُرْهُ أَجَلُهُ، فقالَ عِنْدَهُ سَبْعَ مَرَّات: أَسْأَلُ اللَّه الْعَظِيمَ رَبَّ الْعَرْشِ الْعَظِيمِ أَنْ يَشفِيَك: إِلاَّ عَافَاهُ اللَّه مِنْ ذلكَ المَرَضِ”     رواه أَبُو داود والترمذي وقال: حديث حسن، وقال الحاكِم: حديث صحيح عَلَى شرطِ البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



145. MLANGO WA DUA ANAYOOMBEWA MGONJWA


Imepokewwa na ‘Abdullâh bin ‘Abbâs (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Atakayemzuru mgonjwa ambaye hajafikiwa na mauti, akamwombea mbele yake mara saba: “As-alullâhal‘adhwîma rabbal‘arshil‘adhwîmi ayyashfiyak [Namwomba Allâh Mkuu Mwenye Arshi kuu Akuponye_, basi Allâh Atamponya maradhi hayo.”      [ Imepokelewa na Abû Dâwûd an Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan. Alhakima amesema: “ Hadîth hii ni Sahîh kwa sharti ya Bukhârî.”

 


Begin typing your search above and press return to search.