0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

892. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sunna ya kupeana Mikono wakati wa kukutana, kuwa na uso wa bashasha, kubusu mkono wa mtu mwema……

باب استحباب المصافحةِ عندَ اللقاء وبشاشةِ الوجهِ وتقبيل يد الرجل الصالح وتقبيل ولده شفقة ومعانقة القادم من سفر وكراهية الانحناء


وعن أَبي ذرٍْ رضي الله عنه قَالَ: قَالَ لي رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم “لاتَحقِرَنَّ مِنَ المعْرُوف شَيْئاً وَلَو أنْ تَلقَى أخَاكَ بوجه طليق       رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



143. MLANGO WA SUNNAH YA KUPEANA MIKONO WAKATI WA KUKUTANA, KUWA NA USO WA BASHASHA, KUUBUSU MKONO WA MTU MWEMA, MTU KUMBUSU MWANAWE KWA HURUMA, KUMPIGA MAKAMAMA ALIEKUJA KUTOKA SAFARINI NA UKARAHA WA KUINAMA


Imepokewwa na Abû Dharri (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ aliniambia: “Usidharau chochote katika wema hata kama ni kumtazama nduguyo (Muislamu) kwa uso wenye bashasha.”   [ Imepokelewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.