0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

891. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sunna ya kupeana Mikono wakati wa kukutana, kuwa na uso wa bashasha, kubusu mkono wa mtu mwema……

باب استحباب المصافحةِ عندَ اللقاء وبشاشةِ الوجهِ وتقبيل يد الرجل الصالح وتقبيل ولده شفقة ومعانقة القادم من سفر وكراهية الانحناء


وعن عائشة رضي الله عنها قَالَتْ: قَدم: زَيْدُ بُن حَارثة المَدِينَةَ وَرسولُ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم في بَيْتي فأتَاهُ فَقَرَعَ البَابَ. فَقَام إليهْ النبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَجُرُّ ثوْبَهُ فَاعْتَنَقَهُ وَقَبَّلَهُ”     رواه الترمذي وقال: حديث حسن


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



143. MLANGO WA SUNNAH YA KUPEANA MIKONO WAKATI WA KUKUTANA, KUWA NA USO WA BASHASHA, KUUBUSU MKONO WA MTU MWEMA, MTU KUMBUSU MWANAWE KWA HURUMA, KUMPIGA MAKAMAMA ALIEKUJA KUTOKA SAFARINI NA UKARAHA WA KUINAMA


Imepokewwa na ‘Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Zaid bin Hârithah alikuja Madina, na Mtume ﷺ alikuwa nyumbani mwangu, akamjia na akagonga mlango. Mtume ﷺ akainuka kumwendea huku anaiburuta nguo yake, akamkumbatia na akambusu.”    [ Imepokelewa Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.