0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

888. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sunna ya kupeana Mikono wakati wa kukutana, kuwa na uso wa bashasha, kubusu mkono wa mtu mwema……

باب استحباب المصافحةِ عندَ اللقاء وبشاشةِ الوجهِ وتقبيل يد الرجل الصالح وتقبيل ولده شفقة ومعانقة القادم من سفر وكراهية الانحناء


وعن أنس رضي الله عنه قَالَ: قَالَ رَجُلٌ: يَا رسولَ اللهِ، الرَّجُلُ مِنَّا يَلْقَى أخَاُه أوْ صَديقَهُ أينْحني لَهُ؟ قَالَ: “لاَ”قَالَ: أفَيَلتزمه وَيُقَبِّلُهُ؟ قَالَ:”لاَ”قَالَ: فَيَأْخُذُ بِيَده وَيُصَافِحُهُ؟ قال:”نَعَم َ”      رواه الترمذي وقال: حديث حسن


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



143. MLANGO WA SUNNAH YA KUPEANA MIKONO WAKATI WA KUKUTANA, KUWA NA USO WA BASHASHA, KUUBUSU MKONO WA MTU MWEMA, MTU KUMBUSU MWANAWE KWA HURUMA, KUMPIGA MAKAMAMA ALIEKUJA KUTOKA SAFARINI NA UKARAHA WA KUINAMA


Imepokewwa na Anas  (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtu mmoja aliuliza: “Yâ Rasûlallâh, mtu kati yetu anapokutana na nduguye au rafiki yake, amuinamie?” Akamwambia: “Hapana.” Akamwuliza: “Amkumbatie na ambusu?” Akamwambia: “Hapana.” Akamwuliza: “Amshike mkono wake na aamkiane naye?” Akamwambia: “Ndio.”       [ Imepokelewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.