0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

877. Riyadhu Swalihina Mlango Wa kubainisha kuwa Sunna mtu anapoulizwa ni “Nani wewe” ajibu “Mimi ni fulani”

باب بيان أنَّ السنة إِذَا قيل للمستأذن: من أنت؟ أن يقول: فلان فيسمي نفسه بما يعرف به من اسم أَوْ كنية وكراهة قوله”أنا”ونحوها


وعن جابر رضي الله عنه قَالَ: أتَيتُ النبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فَدَقَقْتُ البَابَ فقال: ” من ذا؟ “فَقُلتُ، أَنَا، فَقَالَ:”أنَا أنَا؟ كأنهُ كَرهَهَا”،     متفق عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



141. MLANGO WA KUBAINISHA KUWA SUNNAH NI MTU ANAPOULIZWA: “NI NANI WEWE?” AJIBU: “NI FULANI,” AJITAJE KWA JINA ANALOJULIKANA KWALO AU KWA LAKABU, NA MAKRUHU YA KUJIBU: “NI MIMI,” NA MFANO WAKE


Imepokewa na Jâbir (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Nilimwendea Mtume ﷺ nikagonga mlango. Akauliza: “Ni nani huyu?” Nikajibu: “Ni mimi.” Akasema: “Mimi mimi?!” Kanakwamba alikuwa amechukia.”                     [ Wameafikiana Bukhari na Muslim].


Begin typing your search above and press return to search.