0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

140. MLANGO WA KUBISHA HODI NA NIDHAMU ZAKE

باب الاستئذان وآدابه


قَالَ الله تَعَالَى: {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لاَ تَدْخُلُوا بُيُوتاً غَيْرَ بُيُوتِكُمْ حَتَّى تَسْتَأْنِسُوا وَتُسَلِّمُوا عَلَى أَهْلِهَا}  [النور: ٢٧]

وقال تَعَالَى: {وَإِذَا بَلَغَ الْأَطْفَالُ مِنْكُمُ الْحُلُمَ فَلْيَسْتَأْذِنُوا كَمَا اسْتَأْذَنَ الَّذِينَ مِنْ قَبْلِهِمْ}   [النور: ٥٩]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



140. MLANGO WA KUBISHA HODI NA NIDHAMU ZAKE


Mwenyezi Mungu Amesema: “Enyi mlioamini! Msiingie nyumba zisio nyumba zenu mpaka muombe ruhusa, na muwatolee salamu wenyewe.” [24:27].

Mwenyezi Mungu Amesema: “Na watoto wanapofikilia umri wa kubalighi basi na watake ruhusa, kama walivyotaka ruhusa wa kabla yao.” [24:59].


Begin typing your search above and press return to search.