0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

868. Riyadhu Swalihina Mlango Wauharamu wa sisi kuanza kuwaamkia Makafiri kutoa salamu, namna ya kuwarudishia salamu..

باب تحريم ابتداء الكافر بالسلام وكيفية الرد عليهم واستحباب السلام على أهل مجلسٍ فيهم مسلمون وكفار


وعن أُسامه رضي الله عنه أنَّ النَّبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم مَرَّ عَلَى مَجْلسٍ فِيهِ أخلاطٌ مِنَ المُسلِمِينَ والمُشرِكِين عَبَدةِ الأوثَانِ واليَهُودِ فَسَّلمَ عَلَيْهِمْ النبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم.   متفق عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



138. MLANGO WAUHARAMU WA SISI KUANZA KUWAAMKIA MAKAFIRI KUTOA SALAMU, NAMNA YA KUWARUDISHIA SALAMU, SUNNAH YA KUWAAMKIA WATU WALIOKETI AMBAPO MIONGONI MWAO MUNA WAISLAMU NA MAKAFIRI


Imepokewa na Usâma (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ  alipita katika majilisi ambapo ndani yake kulikuwepo mchanganyiko wa Waislamu na mushrikina – waabudu masanamu na Mayahudi – Mtume ﷺ akawatolea salamu.”   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.