0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

848. Riyadhu Swalihina Mlango Wa fadhila ya kutoa Salamu na amri ya kuisambaza

 باب فضل السلام والأمر بإفشائه


وعن أَبي هريرةَ رضي الله عنه قَالَ: قالَ رَسُول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم “لاَ تَدْخُلُوا الجَنَّةَ حَتَّى تُؤْمِنُوا وَلا تُؤمِنوا حَتى تحَابُّوا، أَوَلا أدُلُّكُمْ عَلَى شَئٍ إِذَا فَعَلْتُمُوهُ تَحاَبَبْتُم؟ أفْشُوا السَّلام بَيْنَكُم”     رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



131. MLANGO: FADHILA YA KUTOA SALAMU NA AMRI YA KUISAMBAZA


Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Hamtaingia Peponi mpaka muwe na imani, wala hamtakuwa na imani mpaka mupendane. Je, niwajulishe jambo mtakapolitenda mtapendana? Enezeni salamu baina yenu.”   [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.