0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

842. Riyadhu Swalihina Mlango Wa ndoto na yanayofungamana nayo

باب الرؤيا وَمَا يتعلق بها


وعن أَبي قَتَادَة رضي الله عنه قَالَ: قَالَ النبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: ” الرُّؤْيَا الصَّالَحِةُ وفي رواية الرُّؤيَا الحَسَنَةُ منَ اللهِ، والحُلُم مِنَ الشَّيْطَان، فَمَن رَأى شَيْئاً يَكرَهُهُ فَلْيَنْفُثْ عَن شِمَاله ثَلاَثاً، ولْيَتَعَوَّذْ مِنَ الشَْيْطان فَإنَّها لا تَضُرُّهُ”                متفق عليه.”       النَّفثُ”نَفخٌ لطيفٌ لاريِقَ مَعَهُ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



130. MLANGO WA NDOTO NA YANAYOFUNGAMANA NAYO


Imepokewa na Abû Qatâdah (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Mtume amesema: “Ndoto nzuri inatoka kwa Allâh, na ndoto mbaya inatoka kwa shetani. Atakayeona jambo linalomchukiza basi atufie (kuvuvia bila ya kutema mate) mara tatu kushotoni mwake, na ajilinde kwa Allâh dhidi ya shetani, hakika haitaweza kumdhuru.”       [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.