0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

830. Riyadhu Swalihina Mlango Wa nidhamu za Majilisi na anaeketi

باب في آداب المجلس والجليس


وعن حذيفة بن اليمان رضي الله عنه أنَّ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم لَعَنَ مَنْ جَلَسَ وَسَطَ الحَلْقَةَ.     رواه أَبُو داود بإسنادٍ حسن

وروى الترمذي عن أبي مِجْلزٍ أنَّ رَجُلاً قَعَدَ وَسَطَ حَلقْة فَقَالَ حُذَيْفَةُ: مُلْعُونٌ عُلَىَ لِسَانِ مُحَمَّدٍ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم أوْ لَعَنَ اللهُ عَلَى لِسَانِ محُمَدٍ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم مَنْ جَلَسَ وَسَطَ الْحَلْقةِ.    قَالَ الترمذي: حديث حسن صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



129. MLANGO WA NIDHAMU ZA MAJILISI NA ANAYEKETI


Imepokewa na Hudhaifa bin al-Yamân (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ amemlaani anayeketi katikati ya kikao (walichoketi watu).”   [ Imepokea na Abû Dâwûd, isnadi yake ni Hasan.]

Tirmidhy ameipokea kutoka kwa Abû Mijlaz kuwa mtu mmoja aliketi katikati ya duara (walioketi watu). Hudhaifa akasema: “Amelaaniwa kwa ulimi wa Muhammad ..” au alisema: “Allâh Amemlaani – kwa ulimi wa Muhammad – mwenye kuketi katikati ya duara.”     Tirmidhy amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.


Begin typing your search above and press return to search.